Posts

Showing posts from January, 2025

Pascal Joseph on Amazon Music

Image
  - Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa.  - Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu.   - Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu.  #pascaljoseph #mtuwanjiailee #mtuwanjiaile #uzaidibwana #bwanatusaidie #ukanipamaishamapya