Pascal Joseph on Amazon Music

 

- Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa. 

- Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. 

 - Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu. 

#pascaljoseph #mtuwanjiailee #mtuwanjiaile #uzaidibwana #bwanatusaidie #ukanipamaishamapya

Comments

Popular posts from this blog

Pascal Joseph

Pascal Joseph